DO YOU WANT TO BECOME A WRITER? FOLLOW THIS. 01.CALL YOURSELF A WRITER Katika kitu ambacho ni kigumu sana na ni kizuizi kikubwa kwa mtu anayetaka kuwa mwandishi ni akili yako katika kujiamini. Ukikiri kwamba wewe ni mwandishi hata kama haujaanza kuandika unaupa confidence ubongo kiasi cha kuanza kuachilia hamu ya kuandika.
02.PRACTICE AND KEEP IT UP No one is born an expert, unachotakiwa ni kunoa kipaji chako kila leo kwa kuandika sana, Fanya mazoezi ya kuandika itakufanya uwe mwandishi very soon.
03.NO ONE IS READING YOU Kuna wakati unaweza ukawa unaandika mtandaoni na Hakuna anayekufuatilia, ni kweli kabisa there is no one reading you. Andika as if Hakuna anayesoma maana usitegemee kutengeneza JINA ndani ya muda mchache na kila mtu akakusurpot. Andika kwa ajili yako mwenyewe, mwenye kutaka kujifanza atachukua asome asiye taka acahana naye. Maana kuna wakati utaacha kuandika ukiogopa kitu cha kuandika kwa kufikiri kila mtu anakufuatilia.
04.NO ONE IS JUDGING YOU. Kazi yako ya kuandika ni ya kwako haimhusu mtu yeyote, andika unavyotaka, andika unavyosukumwa. Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuhukumu kazi zako, Sina maana hawapo ila what i mean ni kwamba usiwasikilize wale ila nisikilize yule wewe wa ndani anavyosema .
05.BE A GOOD READER Kama unavyotaka wengine wakusome wewe na iwavutie kiasi cha kutoacha kusoma maandishi yako ndivyo nawewe unapaswa kusoma maandishi ya wengine kwa kina ili ujue vitu vingi. Kusoma kwa mapana maandishi ya wengine pia kutakusaidia kujua hata mawazo ya mwandishi kabla hata ya kuandika na hata alipokuwa anaandika alikwa anawaza nini.
06.YOU ARE A REAL OBSTACLE TO YOUR WRITING. kiukweli wewe ndiwe kizuizi pekee katika uandishi wako. Hakuna mtu anayeweza
DO YOU WANT TO BECOME A WRITER? FOLLOW THIS.
JibuFuta01.CALL YOURSELF A WRITER
Katika kitu ambacho ni kigumu sana na ni kizuizi kikubwa kwa mtu anayetaka kuwa mwandishi ni akili yako katika kujiamini.
Ukikiri kwamba wewe ni mwandishi hata kama haujaanza kuandika unaupa confidence ubongo kiasi cha kuanza kuachilia hamu ya kuandika.
02.PRACTICE AND KEEP IT UP
No one is born an expert, unachotakiwa ni kunoa kipaji chako kila leo kwa kuandika sana, Fanya mazoezi ya kuandika itakufanya uwe mwandishi very soon.
03.NO ONE IS READING YOU
Kuna wakati unaweza ukawa unaandika mtandaoni na Hakuna anayekufuatilia, ni kweli kabisa there is no one reading you. Andika as if Hakuna anayesoma maana usitegemee kutengeneza JINA ndani ya muda mchache na kila mtu akakusurpot.
Andika kwa ajili yako mwenyewe, mwenye kutaka kujifanza atachukua asome asiye taka acahana naye.
Maana kuna wakati utaacha kuandika ukiogopa kitu cha kuandika kwa kufikiri kila mtu anakufuatilia.
04.NO ONE IS JUDGING YOU.
Kazi yako ya kuandika ni ya kwako haimhusu mtu yeyote, andika unavyotaka, andika unavyosukumwa. Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kuhukumu kazi zako, Sina maana hawapo ila what i mean ni kwamba usiwasikilize wale ila nisikilize yule wewe wa ndani anavyosema .
05.BE A GOOD READER
Kama unavyotaka wengine wakusome wewe na iwavutie kiasi cha kutoacha kusoma maandishi yako ndivyo nawewe unapaswa kusoma maandishi ya wengine kwa kina ili ujue vitu vingi.
Kusoma kwa mapana maandishi ya wengine pia kutakusaidia kujua hata mawazo ya mwandishi kabla hata ya kuandika na hata alipokuwa anaandika alikwa anawaza nini.
06.YOU ARE A REAL OBSTACLE TO YOUR WRITING.
kiukweli wewe ndiwe kizuizi pekee katika uandishi wako. Hakuna mtu anayeweza